Johari RotanaRRRRR
BOOK NOW
MEETINGS & EVENTS 
MIKUTANO NA MATUKIO  
SAUTI NA VIDEO

Sasa Imefunguliwa

Johari Rotana inatoa aina mbalimbali ya vifaa na zana ili kuhakikisha mkutano au tukio lako linakwenda vizuri. Ni hoteli pekee jijini Dar es Salaam inayotoa intaneti ya Fibre Optic, inayohakikisha idadi kubwa ya wageni wanapata Wi-Fi bila kuathiri kasi ya intaneti.

Vifaa na zana hujumuisha:

Mifumo ya taa

  • Taa zenye mwanga hafifu kwa vyumba vyote vya mikutano
  • Mwanga wa asili wa mchana
  • Mtambo wa kupangilia mfumo wa taa
  • Projekta

Projekta za Juu

  • Skrini za projekta za kiotomatiki
  • Vionyeshi
  • Bango kitita na kalamu

Mfumo wa muziki

  • Mtambo wa kuchanganya chaneli
  • Spika zilizojengewa ndani
  • Vipaza sauti vyenye waya na visivyo na waya

Zana za ziada zinaweza kutolewa ikiwa zitahitajika.

Terms of Use
Privacy Policy
Cookie Settings
© Copyright 2024 Rotana Hotel Management Corporation PJSC.
CONTACT
LANGUAGE
MENU
This website uses cookies so that we can improve your user experience and measure the performance of our site. If you continue on this website, you will be providing your consent to our use of cookies.
Read our Cookie Statement
ACCEPT